1 Kings 9:27-28

27Naye Hiramu akawatuma watu wake; mabaharia walioijua bahari, kuhudumu katika hizo meli pamoja na watu wa Sulemani. 28Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420
Talanta 420 za dhahabu ni sawa na tani 14.
za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Sulemani.
Copyright information for SwhKC